 |
| Bongo Talents Alive (BTA) Wakiwa kwenye pozi |
|
Sasa, YODENET kupitia seckta yake ya burudani (Tarumbeta) kwa lengo la kuinua, kuboresha na kuendeleza vipaji vya watanzania inakuletea kundi la muungano wa vipaji liitwalo BONGO TALENTS ALIVE (BTA) na kwa kuanzia tayari kundi hilo linahusisha Model na Dancers mkoani Kagera manispaa ya Bukoba!!